Kuna influencer beshte who was tweeting tu fwaa wakati wa Jayden.. Just like that catfish..He was anonymous..Akapata DM ya someone saying anataka kumpea kazi. So akapeana number yake willingly.. Alikua picked akilewa local😭 walifika, wakaCall.. Akatoka nje kuReceive.. Hakurudi😂